-->

Juma Nature Afukukia Wasanii Wanaotumia Unga

Baada ya hapo jana  msanii Young Dee kukiri kutumia madawa kwa mwaka na nusu na kwamba ameacha huku akiahidi maisha mapya, msanii mkongwe wa bongo Fleva, Juma Nature ametoa maoni yake pia kuhusiana na matumizi ya madawa hayo.

juma nature67

Juma Nature

“Kuna mambo ambayo nikijiuliza jibu sipati hivi ni kweli kuna wasanii wanakula mambo hivi, mbona sisi uhuni tumepitia lakini lakaya hii nimpya,” aliandika kwenye Instagram.

“Punguzeni kuiga wadogo zng jamii inawategemea…maana hatatukisema tuwaombeee kazi bure mtarudia tu! Kwani huyo anayewauzia anawashikia bastora ndg zng? Misijapendezwa namichongo famfa kujiendekeza banaaaaa,” aliongeza.

Matumizi ya madawa ya kulevya kwa wasanii yamekuwa hadithi isiyoisha huku Chidi Benz na Ray C wakiwa wahanga waliotawala zaidi headlines kwa sasa.

************************************************************************************************

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364