-->

Juma Nature Ndiye Alikuwa Mkubwa Wanaume Family-Chege

Msanii wa Bongo Flava nchini Chege Chigunda amesema msanii mwezake Juma Nature ndiye msanii alikuwa mkubwa kuliko yeye na wenzake katika kundi la Wanaume Family na kuwafanya watambulike kwenye ramani ya muziki.

CHEGE

Chege ameonyesha wazi kumkubali Juma Nature alipokuwa akizungumza katika kipindi cha MKASI kinachorushwa kila siku ya Jumatatu na kituo cha EATV.

Msanii Chege ameonyesha wazi wazi kutamani kundi hilo liweze kurejea kama zamani kwani kuna vitu ambavyo hawezi kuvisahau ambavyo walikuwa wakivifanya katika kundi hilo ambavyo vilifanya waweze kukubalika sana na wananchi.

Aidha msanii huyo ameweka wazi kwamba Juma Nature ndiye ambaye alikuwa na tatizo na uongozi wa kundi hilo hadi kupelekea kugawanyika na wala si yeye.

tmk

EATV.TV

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364