-->

Kalambati lobo ya JB Kuonyeshwa Leo Sibuka Maisha Channel Namba 111

Zikiwa zimebaki saa chache tu wapenzi wa filamu za kitanzania kushuhudia kwa mara ya kwanza filamu kubwa ya Kalambati lobo,kutoka kwa msanii grade 1 bongo movie JB ikioneshwa kwenye channel bora ya filamu Tanzania Sibuka Maisha channel namba 111 kwenye startimes leo saa 3 usiku.

jb9322

Tumewasogezea picha za Jb akila dinner na washindi walioshindwa swali alilouliza kupitia ukurasa wake wa instagram.

Usikose kuangalia filamu ya kalambati lobo leo usiku saa 3 kamili na marudia kesho saa 9 mchana na jumapili saa 3 usiku,kumbuka jumatatu itapatikana nchi nzima kwenye kwenye maduka yote ya steps entertainment.

jb903 jb0322 jb9322 jb932 jb32

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364