-->

Karibu Dar ya Wastara Yaja kwa Kasi

FILAMU ijulikanayo kwa jina la Karibu Dar ipo tayari na sasa inaingia sokoni siku ya Jumatatu kwa kishindo sinema hiyo ambayo kinara wake ni Wastara Juma ‘Stara’ ni kazi nzuri na yenye stori ya kuvutia na inasambazwa na kampuni ya Splash Entertainment ya jijini Dar es Salaam.

Stara mwigizaji wa filamu ya Karibu Dar akiwa katika pozi.

Stara mwigizaji wa filamu ya Karibu Dar akiwa katika pozi.

 

“Sinema ya Karibu Dar inatarajia kuingia siku ya Jumatatu na kusambazwa nchi nzima na Splash Entertainment ni filamu nzuri sana wapenzi wa filamu waipokee ili wafaidi uhondo uliopo ndani ya sinema hiyo,” anasema Steve Selengia.

Sinema ya Karibu Dar imewashirikisha wasanii wakali kama Wastara Juma, Tizo Mkwepu, Nassor Ndambwe, Kibabu Mkomwa na wasanii wengi wakali wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu na itapatikana kwa nchi nzima katika maduka ya kuuza filamu usiikose nakala yako halisi.

POSTER-532

FC

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364