-->

Kujiamini Ndio Kila Kitu –Kitale

MCHEKESHAJI na mwigizaji wa filamu Bongo Yussuf Mussa Kitale ‘Rais wa Mateja’ anasema kuwa ili kufanikiwa kwa kila jambo ni kujiamini na kuacha uoga hiyo ndio imemfanya hadi leo kushindwa kuuza kazi zake na haki zake kwa wasambazaji.

KITALE342-1

“Wasanii wengi waoga kusambaza kazi zao, mimi nimesambaza kazi nyingi lakini Shobo dundo na Nikabu zinafanya vizuri sokoni bila kutegemea msambazaji tunasambaza kwa kampuni yetu ya Macho Media,”

Kitale anasema kuwa kila mtu analalamika lakini hawezi kuchukua maamuzi kufanya kazi zao kama anavyofanya yeye kulinda haki zake na hajawahi kuuza sinema yake yoyote kwa msambazaji kwa sababu anajiamini kwa sasa sinema yake ya Nikabu ndio inafanya vizuri sokoni.

FC

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364