-->

BREAKING NEWS: NECTA Imetangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2017/2018

NECTA inatangaza kuwa matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 yametoka.

January 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2017’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2017’ >>>CSEE 2017

Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017 >>>(QT) 2016

BREAKING: NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364