-->

Multichoice imekuja na THE PUNGUZO- Miezi miwili (2) bure!

Punde tu baada ya kumaliza ofa mahsusi ya kufunga mwaka, MultiChoice Tanzania imetangaza neema kwa wateja wake wapya watakaojiunga kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo watajipatia ofa ya kifurushi kwa muda wa miezi miwili bure!

THE PUNGUZO- Ni Kwa shilingi 79,000 tu, mteja anapata vifaa vyote vya kujiunga na DStv ikiwemo Dish, Dikoda, Rimoti, na zaidi ya yote, anapata kifurushi cha miezi miwili bure! Kifurushi ambacho kitamuwezesha kuona channeli zaidi ya 70 huku akifurahia ligi maarufu kama La Liga Ligi Kuu ya Uingereza, FA Cup, Europa league, burudani ya Mieleka (WWE), Filamu na Tamthilia kali za kitanzania kama Sarafu, Kapuni, Mwantumu na nyingine nyingi. Kipindi hiki cha valentine, watazamaji watapata fursa pia ya kuangalia Tamthilia za kusisimua za mapenzi na mahusioano ndani ya chaneli ya Zee World, Telemundo, Eva +, Televisa, na filamu kibao kutoka nje.

Ofa hiyo ya fungua mwaka inafahamika kama ‘The Punguzo‘ inaanza rasmi leo tarehe 1 Februari 2018 na itaendelea hadi mwisho wa mwezi Machi mwaka huu. Ni wakati wa wateja ambao hawajajiunga na DStv kuchangamkia ofa hii kwani itaendelea kwa kipindi cha miezi miwili tu.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364