Lulu Afunguka Juu ya Mahusiano ya Jux na Vanessa Mdee
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kusema yake ya moyoni kuhusiana na mahusiano ya mastaa wawili wa bongo fleva, Jux na Vanessa kwa kuandika maneno haya kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kuweka picha ya wawili hao.
“You can’t Stop Loving Short Girls ???Ukiona nakudanganya Kamuulize Anko Will Smith?20 years kakwama Kwa Aunty Jada?
FAVE COUPLE….ikitoka Yangu Tu hii Ndo inafata ?
Kuna mijitu itapanic basi???Sasa unataka nikupende Wewe Na Mtu wako wakati hamueleweki????”.
Bila shaka ‘short girls’ wote wameipenda hii.