Lulu: Sasa Nahitaji Kupata Mtoto
Staa mrembo wa Bongo Movie amefunguka kuwa kwasasa anahitaji kuwa na mtoto.
Muigizaji huyo ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa Instagram akimuomba Mungu huku akidai kuwa yupo tayari kwa sasa na anahitaji mtoto.
“Okay…I’m ready noooow????and I want a Baby Boy???In Jesus Name?,” ameandika Lulu kwenye mtandao huo.
Kwa sasa muigizaji huyo yupo kwenye mahusiano na bosi wa EFM, Majay.