-->

Miyeyusho Imenihamishia Kenya- Mlela

YUSUF Mlela mwigizaji wa filamu Bongo amefunguka kwa kusema kuwa amepata mkataba wa kufanya kazi na Wakenya baada ya ubabaishaji kuingia katika soko la filamu Tanzania kwani bila hivyo hali ingekuwa mbaya sana hivyo alipopata mkataba kuigiza nchini Kenya hakusita.

yusuph

mzalendo kwa nchi yake lakini hapa kwetu miyeyusho imezidi unaingia location kwa shida na kuuza nako shida si rahisi kushindana na mnunuzi wa kazi yako inabidi kujiongeza,”

Mlela amesema kwa nchini Kenya ana mkataba wa kurekodi tamthilia pia yupo katika maongezi na watengenezaji wa filamu nchini humo kwa ajili ya kutengeneza sinema huko huko kwani kwa Bongo bado kuna matatizo ya kimfumo na kupoteza nguvu nyingi zisizorudi kwa wakati.

FC

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364