-->

Mizengwe, Kundi Pekee La Comedy Lililosalia Tanzania! (Maoni)

Kikundi cha kash kash, kinajojishughulisha na shughuli za sanaa kwa kucheza ucheshi unaojulikaba kama Mizengwe ndio kikundi pekee hivi sasa kilichobakia kwenye tasnia ya ucheshi kwa kuweza kuendelea kuiburudisha jamii kupitia vichekesho vyao!

Wasanii wa Mizwenge

Kikundi hicho kilichojaliwa kuwa na wachekeshaji wenye vipaji akiwemo mkwere original, maringo7, safina na wengineo wameweza kutawala na kukiimarisha kikundi hiki kwa kubuni vichekesho mbalimbali ambavyo huwezi kuboreka pindi unavyotazama vichekesho vyao!

Kundi hili liwe mfano kwa makundi mengine yanayofanya sanaa kama hizo, hakika hawa jamaa wanastahili pongezi!

My take; Hawa jamaa wasije wakajiingiza au wakakubali kuhadaiwa na wanasiasa, watapotea na huo ndio utakuwa mwisho wao, watakapojiingiza kwemye masuala ya siasa hilo kundi lazima litavurugika, wasikubali kamwe kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa na kuonyesha mrengo wao hadharani kama wanataka kuendelea kupendwa na kufanya vyema!.

Wasanii Wachekeshaji

Wasanii Wavichekesho

By Freyzem on JF

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364