-->

Mose Iyobo Atangaza Ndoa

Mchezaji maarufu wa muziki wa Bongo Fleva Moses Peter anaetambulika kwa jina la Mose Iyobo anefanya kazi na Staa Diamond Platnumz amefunguka na kudai kuwa ndoa yake na staa wa Bongo muvi Aunt Ezekiel inanukia.

aunt ezekiele na iyobo

Moses Peter akiwa na Aunt Ezekiel

kizungumza na eNewz Mose alisema kuwa kuna kitu ambacho watu hawafahamu ambacho ni kuwa, yeye anakaribia kuwa bwana harusi wa mzazi mwenzie huyo ”Mama Cookie”.

“Lakini ninavyoishinae ni ndoa tosha kwa sababu tunaishi kama baba na mama hivyo nataka kujithibitisha inabidi nifunge ndoa ili watu wani-verify kama instagram”,alisema Mose.

Pia Mose alisema kuwa hapendi watu wanavyomzungumzia vibaya mzazi mwenzie huyo wakidai kuwa eti ni mzee kwani angelikuwa hivyo yeye asingelisogea kwa kuwa angelikuwa kama anatembea na mama yake na kuongeza kuwa wakifurahishwa na uwepo wa mtoto wao Cookie kwa kuwa ndoa anaewafanya wao waendelee kuwepo pamoja.

Eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364