-->

Mr Blue Anakuja na Hii Akiwa na Alikiba

Mr Blue alitumia Acount yake ya Instgram kufikisha ujumbe huo kwa mashabiki wake na kuwaambia kazi ambayo amefanya na msanii Alikiba kwa producer Man Water ‘Combination Sound’ imekamilika na sasa ipo mikononi mwake.

Blue

“Nataka kuwaambia kuwa nawapenda sana ila nataka muachane na skendo ambazo zipo kwenye vyombo vya habari, Mr Blue sasa nakuja na mambo mazuri yanakuja”

Wiki kadhaa Mr Blue alisema kuwa wimbo wake mpya anaotegemea kuachia amefanya na Alikiba na leo amethibitisha kwa wimbo huo kukamilika na kusema muda wowote kuanzia sasa anauachia na huo ndiyo utakuwa ujio wake mpya.

Eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364