-->

Msami Amtolea Povu Barakah The Prince Kuhusu Naj

Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala kuwa mchumba wa Najma.

msami10

Ametoa kauli hiyo baada ya Barakah kumtukana Msami baada ya kukoment katika akaunti ya Instagram ya Naj.

Akiongea na E-News ya EATV, Msami alisema, “Kwanza Barakah ajue Naj sio mke wake, wala mchumba wake ni boyfriend na girlfriend tu. Kwahiyo Barakah hana nguvu ya mume wala mchumba kwa Naj. Kwahiyo hata mtu mwingine anaweza kuleta fujo na kutupa kete yake. Halafu mie ni expensive sana kwa Naj watu ambao naweza kurusha kete yangu kwa watu ambao ni expensive ambao wapo kwenye level yangu kama mimi. Naj yupo kwenye level ya Barakah na mimi nipo kwenye level nyingine kabisa za juu. We angalia watu wangu awe Uwoya au Kajala, kwahiyo mimi ni expensive sana.”

msami93

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364