-->

Mwanaheri Akataa Posa

Mwigizaji anayekuja juu kwa kasi kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Mwahaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kufuatia kutokuwa tayari kuolewa, alishatolewa posa mara nane lakini akazikataa zote.

mwanaheri32

Akizungumza na Wikienda, Mwana alisema kuwa hayuko tayari kuolewa kwa sasa hadi akamilishe mipango yake aliyojipangia ndiyo maana hata posa zilivyokuwa zikiletwa kwao hakuwa tayari.

“Nilikuwa bado niko chuo, nikawa napata tu habari kutoka nyumbani kwetu Mtwara kuwa kuna posa zilikuwa zinaletwa lakini niliwaambia kabisa sizitaki kwani siko tayari kuolewa kwa sababu bado muda wangu haujafi ka,” alisema Mwana Anaye fanya poa na fi lamu yake ya Mwanaheri.

MWANAHERI22

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364