-->

“Nampenda yeye” ndio ilinitoa kimaisha-Temba

TEMBA 6

Gwiji wa Muziki wa Bonge Fleva Mhe. Temba amefunguka kuwa llbum yake ya kwanza ya nampenda yeye ndio iliyomfungulia Maisha na mafanikio katika muziki wake.

Mhe. Temba ambae anaunda kundi la TMK Familly akiwa anashirikia pia kwa ukaribu na Chege, amesema kuwa alilazimika kununua fanicha za ndani kutokana na mauzo ya album hiyo, ambapo aliweza kubadili hata maisha ya nyumba ya familia aliyokuwa anaishi.

Temba amesema wakati anaingia katika muziki shagazi yake ambae ndie alikua mlezi wake, alikua hataki kabisa yeye kujihusisha na muziki lakini baada ya kubadilisha nyumbani kwa album hiyo, ndio milango yake kwenye game ikafunguka.

Eatv.tv

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364