Natamani Nimpate Mtoto Hata Sasa – Wema Sepetu
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema ameanza muda mrefu kutafuta mtoto lakini hajabahatika kumpata na kudai kuwa anatamani sana kupata mtoto hata sasa na kudai hajakata tamaa.
Wema Sepetu alisema hayo kupitia kipindi cha NIRVANA ambapo alikuwa akupiga stori na mtangazaji Deogratius Kithama wakati wa uzinguzi wa filamu ya diva huyo inayofahamika kwa jina la ‘Heaven Sent’