-->

Nay wa Mitego Awafungukia Wolper, Nisha na Shilole, Kisa Kutoka na Wasanii Chipukizi

Mkali wa Bongo Fleva  ambae haishi kuwachana mastaa wenzake. Nay wa Mitego, amewatupia vijembe wasanii wa kike wa bongo movie wanaopenda wasanii wa Bongo Fleva wanaochipukia na kuhit redioni.

nay532

Kupitia video aliyoipost kwenye account yake ya instagram amewataja warembo hao kuwa Jacqueline Wolper, Nisha pamoja na Shilole. Amesema wasanii hao ni kiboko kwa kukwapua wasanii wadogo ambao single zao zinafanya vizuri.

Mtazame hapa

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364