-->

Niliambiwa Sharo Milionea Ananiloga kwa Mafuta ya Uso -Kitale

kitale34-1

Kitale a.k.a Mkude Simba ni mwigizaji/mchekeshaji Tanzania na amechukua sifa nyingi kutokana na zile sauti zake za kuchekesha na video fupifupi zilizotambaa Whatsapp akiigiza kama Teja, kwenye hii video hapa chini kaongea jinsi imani za kishirikina zilivyotaka kumkosanisha yeye na Marehemu Sharomilionea pamoja na mengi ya maisha.

Kabla hujaitazama hii Interview pia ukumbuke kwamba Kitale sasa hivi ana movie mpya sokoni inaitwa Shobo Dundo akiwa na Stan Bakora, Batuli na wengine.

Millard Ayo

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364