Nilimpokea Sharomilionea kwa Mikono Miwili-...
Msanii wa vichekesho Kitale alimaarufu kama Mkude Simba amefunguka na kusema kuwa yeye ndie aliyempokea aliyekuwa msanii wa vichekesho na msanii wa bongo fleva marehemu Sharo Milionea. Akipiga stori katika kipindi cha Mkasi Tv kinachorushwa kupitia ting’a namba moja kwa vijana (EATV) Kitale amesema kuwa yeye ndiye alimpokea Sharo Milionea na kumtambulisha kwenye tasnia, Kitale […]
Read More..