-->

Nimeijua Thamani Yangu Nilipokuwa Burundi-Shamsa Ford

Msanii wa filamu Shamsa Ford, amefunguka mambo mengi yaliyomtokea wakati akiandaa filamu yake mpya ‘Najuta Shamsa’ iliyofanyikia nchini Burundi na Tanzania.

SHAMSA21

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Shamsa amesema mashabiki wa Burundi wamemfanya ajue thamani yake kama masanii.

“Thamani yangu ya kuwa msanii nimeijua nchini Buruduni,” alisema Shamsa. “Nilivyopokelewa, kwanza kuanzia uwanja wa ndege, mule ndani walikuja mabaunsa, nikapandishwa juu kufanya interview, nikakuta waandishi wa habari zaidi ya 20. Natoka nje najua something is small, nakuta umati wa watu, nikaliwa kwa huraha, kwa sababu nilikuta watu zaidi ya mia tatu wanamsubiri Chausiku nje,”

Shamsa amesema hali hiyo ilimpatia huraha na kujua kile anachokifanya kina impact kwa jamii.

Bongo5

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364