-->

Nimejipanga kwa Ubunge Kigoma- Aunt Fifi

MWIGIZAJI wa filamu Swahilihood Tumaini Bigilimana ‘Fifi’ amesema kwa sasa anajipanga kwa aajili ya kugombea Ubunge huko Kigoma ili aweze kuwasaidia wasanii wa filamu baada ya kilio chao cha muda mrefu kushindwa kutatuliwa kutoka na maharamia wa kazi zao hivyo anaamini kuwa endapo ataingia Bungeni kazi hyo itakuwa rahisi sana kutetea maslahi ya wasanii wa filamu Tanzania na wao wapate mtu wa kuwaongelea.

aunt-fifi

Anti Fifi

“Nijipanga kwa ajili ya kugombea ubunge mwaka 2020 jimbo nitalitaja baadae kwani nina lengo moja tu kuwa msemaji wa wenzangu yaani wasanii hususani wa filamu pamoja na wananchi wa jimbo langu lakini nihakikisha wasanii wa filamu tunafikisha ujumbe kwa ajili ya kupata maslahi zaidi,”alisema Fifi.

Fifi ambaye kwa sasa ni diwani kupitia chama cha ACT Wazalendo amesema kuwa wasanii wa muziki

wamefanikiwa kwa kuwakilishwa na wasanii wenzao ambao ni waimbaji wakiingia bungeni inapotokea suala la maslahi yao wanasimamia kidete hivyo wana fursa nzuri kutetea muziki wao na kwenda mbali zaidi kwani wapo ndani.

Central Filamu

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364