-->

NORA: Niliingia Vitani na Johari, Kisa Mapenzi!

KUTOKA moyoni! Bila kumtaja mwanaume husika, mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’amekiri kuwahi kuingia vitani na staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kisa kikiwa ni kugombeapenzi la mwanaume mmoja maarufu jijini Dar (jina ni siri yake).

nora943

Katika mahojiano maalum na gazeti hili, Nora alifunguka kuwa hali hiyo ilitokana na maisha ya usichana yaliyochangiwa na umaarufu na umri.

“Huyo mwanaume alikuja kwa lengo la kunitaka lakini nikawa nahisi kama Johari na baadhi ya rafiki zake walitaka kuninyang’anya, nikaamua kumvaa Johari,” alisema Nora ambaye kwa muda mrefu alikuwa haivi na Johari.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364