Pata Mkopo Usio na Riba
Kwanini urejeshe mkopo wa vicoba kwa riba na hali pesa za akiba ni zenu wenyewe?
Basi mkopo huu ni kwaajili ya MTU yeyote MWAMINIFU na mwenye KIU ya MAENDELEO.
Unataarifiwa kuja kupata elimu ya kina kuhusu namna mkopo bila riba unavyofanya kazi na ukielimika na kuielewa unaweza kuamua kujiunga (SIO LAZIMA) kwenye VICOBA hii isiyo na RIBA yoyote ya mikopo yake.
Lengo ni kukuinua kiuchumi na kukuwezesha kujiweza kifedha.
Unapata kuanzia 250,000/= mwezi wa kwanza hadi 10,000,000/= miezi minne inayofuata. Uadilifu na juhudi ndio nguzo yako ya kupata kiwango cha juu zaidi.
Marejesho na hisa ni kidogo kidogo mwezi kwa mwezi.
Elimu elimu elimu
Tafadhali chagua muda utakaokufaa, elimu ni kwa lisaa limoja tu kila siku.
KUKUTANA DAR ES SALAAM NI KILA SIKU:
Jumatatu – Jumamosi
SAA 5 ASUBUHI HADI SAA 6 MCHANA
SAA 6 HADI SAA 7 MCHANA
SAA 7 HADI SAA 8 MCHANA
JUMAPILI
Elimu ni maalum kwa waliokosa nafasi siku za kazi
SAA 10 HADI SAA 11:30 JIONI
MAHALI: Viwanja vya Maonesho vya SABASABA DAR ES SALAAM Piga au WhatsApp GREY RUTTA +255 684 559 958
ARUSHA ARUSHA ARUSHA
Tarehe 8, 9 na 10 Februari, 2016 Wasiliana na NELLY +255783 566 844 ili kupewa namba ya kushiriki elimu hii.