Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi wake Zari, staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz akiwa na mcheza danci wake Moses Iyobo ambae ameambatana Aunt Ezekiel wameendelea kula bata visiwani Zanzibar.
Hizi ni baadhi ya picha zao
Comments
comments