Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akiwa na mke wake baada ya kufunga ndoa.
Ndoa huyo imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, GK, Alberto Msando na wengine.
Hongera sana Mwana FA.
Comments
comments