-->

PICHA: Nuh Mziwanda na Mkewe Wanatarajia Kupata Mtoto

Siku 21 baada ya msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda atangaze kufunga ndoa na mchumba wake, December 1 2016 ndoa yao imeingia kwenye headlines mpya ambazo awali zilianza kuenea kama tetesi tu.

mziwanda

Nuh Mziwanda na mpenzi wake walifunga ndoa November 10 2016 huku tetesi zikiwa zimeenea mtaani kuwa wameamua kufunga ndoa baada ya mchumba wa Nuh Mziwandakupata ujauzito.

Kupitia account ya instagram ya Nuh Mziwanda leo ameamua kupost picha na mkewe ikimuonesha kuwa ni mjamzito, picha ameipost na kuweka caption hii Ukielewa maisha ni nini na unapaswa uweje ili uheshimike raha sana ‘Nawapenda sana Mashabiki wangu ❤️

Millardayo.com

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364