Picha: Riyama, Muhogo Mchungu na Kazi Mpya Ndani ya Kibaha
Staa wa bongo movies anayesifiwa kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zake, Riyama Ally ameshare nasi picha hii kupitia ukurasa wke mtandaoni akiwa Kibaha na waigizaji wenzake ambapo riyama aliezega kuwa wapo kazina wafikanya kazi yake mpya.
“Riyamaally#Mkegani mke wa #kazibure damwan kazini wapendwa wangu #kibaha Kwa mfipa…..!!! #bi* damwan #kakamuhogomchungu @senatormsungu @barafusuleiman @mwanaher @cutyhassan @mbotohaji #babajemsi zairii14 n. K. Kaeni mkao wakula kazi ya mikono yangu damwan”-RIYAMA
Neno moja kwao.