-->

Tag Archives: RIYAMA

Mboto na Riyama Wamshushua Tunda Man

Post Image

Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Mboto, pamoja na muigizaji wa filamu Bongo movies, Riyama Ally, wamekanusha kufanya filamu ya ‘Mama Kijacho’ kama alivyodai mwanamuziki Tunda Man ambaye ndiyo alijinadi kuwa muhusika mkuu. Mboto amekanusha hayo mbele za kamera ya eNewz na kusema kuwa “mimi sijawahi kushuti movie ya mama kijacho,” alisema Mboto alizidi kuongeza kuwa “Msema […]

Read More..

Ukipata Mtu Kama Riyama Usichelewe Kumuoa &...

Post Image

Leo Mysterio ambaye ni mchumba wa malkia wa filamu nchini Riyama Ally amefunguka na kusema “unapopata mtu anayestahili kuwa mke usicheleweshe kufanya maamuzi ya kumuweka ndani”. Leo Mysterio amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema kwa sasa tayari yeye amefanya maamuzi ya kuishi na Riyama na muda wowote kuanzia […]

Read More..

Riyama Ally ‘Mkegani’ Awachana Maproduc...

Post Image

Msanii mahiri wa filamu Tanzania Riyama Ally anayetambulika kwa sasa kama malkia wa uswazi au Mkegani amewalalamikia watayarishaji wa filamu nchini kuwa wanachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya wasanii hapa nchini. Wasanii wamekuwa wakijadiliwa na kukosolewa sana katika uigizaji wao na kutobadilika kuendana na husika wanazocheza katika filamu. Leo nimepata fursa ya kuongea na […]

Read More..

Riyama Ally, My Stereo, Kuhalalisha Mahusia...

Post Image

Msanii wa filamu Riyama Ally, baada ya kuingia katika hatua ya Uchumba kimya kimya na mpenzi wake ambaye ni msanii chipukizi wa Bongo Fleva leo Mysterio, amesema kuwa mpango wao wa kuhalalisha mahusiano yao umeanza kunukia, hasa baada ya msanii huyo kujihakikishia nafasi yake kwa kutoa posa. Riyama ambaye baada ya hatua hiyo amekuwa mwepesi […]

Read More..

Picha: Riyama, Muhogo Mchungu na Kazi Mpya ...

Post Image

Staa wa bongo movies anayesifiwa kwa kuvaa uhusika kwenye kazi zake, Riyama Ally ameshare nasi picha hii kupitia ukurasa wke mtandaoni akiwa Kibaha na waigizaji wenzake ambapo riyama aliezega kuwa wapo kazina wafikanya kazi yake mpya.   “Riyamaally#Mkegani mke wa #kazibure damwan kazini wapendwa wangu #kibaha Kwa mfipa…..!!! #bi* damwan #kakamuhogomchungu @senatormsungu @barafusuleiman @mwanaher @cutyhassan […]

Read More..

Riyama, Mboto Kupamba Kichupa Cha ‘Mama K...

Post Image

Mastaa wa kali wa Bongo Movies, Riyama Ally na Mboto Haji kushiriki kwenye video ya wimbo wa mama kijacho wa msanii Tunda Man. Tunda Man ameeleza kuwa kichupa hicho kitakuwa cha aina yake tofauti na vichupa vyake alivyowahi kutoa, kichupa hicho kinaandaliwa na muongozaji mahiri nchini Hanscana. Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya […]

Read More..

Flora, Riyama Wafunikana Kukata Nyonga Ukum...

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Flora Mvungi na shostito wake, Riyama Ally juzikati walijikuta wakigeuka kivutio ukumbini baada ya kufunikana kwa kuzikata nyonga bila aibu kwenye hafla ya kumpongeza mtoto wa Flora, Tanzanite Hamis kuchaguliwa kuwa balozi wa duka la kuuza nguo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni Hoteli ya City Style Sinza-Mugabe jijini Dar es Salaam, […]

Read More..

Kaeni Mkao wa Kula,Riyama na ‘Pacha’ wa...

Post Image

Mastaa wakali wa Bongo Movies, Riyama Ally na mwanaheri  kwasasa wapo lokesheni wakishuti kazi yao mpya . Mwanaheri ambaye ni msanii anayekuja kwenye tasnia kwa kasi ya ajabu amefanikiwa kuwateka mashabiki nakupeleikea wamtabilie makubwa kwenye tasnia hiyo kutokana na uwezo wake katika kuigiza. Mbali na kufanana kimuonekano Mwanaheri  amekuwa akifananishwa na Riyama hata kwenye uigizaji […]

Read More..