-->

Pichaz: Walichokifanya WCB hapo jana Uwanja wa Samora Iringa

Jana katika kusherekea sikukuu ya Christmas,timu nzima ya WCB na wasanii wake wakiongozwa , Diamond Platnumz, walioangusha show kubwa kwenye viwanja vya Samora mjini Iringa.

Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jione picha hapo chini.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364