Solo Thang Asikitishwa na Hali ya Chid Benz
Msanii mkobgwe wa rap hapa bongo, Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chid Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.
“Met with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge, no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola” aliandika Solo Thang
Tazama video hii ikimuonyesha Rapa Chid Benz akiwa na Solo Thang