-->

Rais Magufuli Amteua Anna Mghwira Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Ikulu leo Jumamosi imesema kuwa Mgwira amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki.

Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki kuwa mabalozi.

Mwananchi

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364