-->

Richie : Hakuna Msanii Anayeweza Kuwa Namba Moja Milele

richie800

Mshindi wa tuzo ya AMVCA2016 amezungumza kwenye kipindi cha Jahazi kuwa kuna kipindi akishuka sana kisanii kutokana na mambo mbalimbali lakini pia akakiri kuwa msanii yoyote hawezi kuwa namba moja milele kwani kila msanii na wakati wake.

richie890

“Ukweli ni kwamba mimi sikuwa Napenda kuigiza nilienda kwenye kundi letu la zamani la ‘Mambo Hayo’  kusaidia Raymond Alen” Bishanga Bashaiga ” lazima tukubali huwezi kuwa kila siku wewe tu kwenye Sanaa,  unashuka kwenye tasnia sio kwa maana huwezi kwamba time sio yako kuwa namba moja kwa muda haishindikani lakini kuwa namba moja milele haiwezekani ndo maana mimi nakiri kuna kipindi nilishuka sana kisanii” Alisema Richie.

Cloudsfm.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364