-->

Riyama Awatolea Povu Hawa

NYOTA wa filamu nchini, Riyama Ally amedai kukerwa na tabia za baadhi ya watayarishaji na wasambazaji wanaomtumia katika kazi zao kibabaishaji na kumharibia jina lake.

Alisema ametengeneza jina lake kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu, kitendo ambacho kinamvunja moyo kuona watu wanaliharibu kirahisi.

“Mtu anasema dada yangu naomba unisapoti katika kazi yangu, uso umeumbwa na haya, unafanya hivyo lakini kipengele chako ndicho kitawekwa katika matangazo lakini kazi yenyewe unakuta si bora. Sio bure hapa tunatafuta ubaya tu jamani,” alisema.

Mwanaspoti

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364