-->

BreakingNews: Zari na Diamond wameachana!

Zarinah Hassan anayejulikana kama “Zari the boss lady” ametangaza rasmi kuwa amemuacha msaani maarufu  Nasibu Abdul anayejulikana “Diamond platnumz”.

Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano

 

MANENO ALIYOANDIKA ZARI KUPITIA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM

  “Understand that this is very difficult for me to do.
There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised.
We are separating as partners but not as parents.
This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know.
I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too.
I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means.
Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters.
HAPPY VALENTINE’S”.

 

Lakini alisema kuwa wameachana kimahusiano lakini sio kama wazazi kwa watoto wao.

Zari na Diamond katika kipindi chao cha mahusiano kilichodaiwa kuanza Novemba 2014 wameweza kupata watoto wawili, wa kike anaitwa Tiffah na wa kiume anaitwa Nillan

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364