-->

Rose Ndauka awa mtangazaji mpya wa East Africa Radio

Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka amepata shavu jipya la kutangaza East Africa Radio.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, muigizaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka, “Nafurahi kuwa mmoja wa team hii mpya ya #Eastafricaradio.Ni planetbongo mpya 2017.”

Awali Ndauka alikuwa akitangaza Times FM kabla ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwaka jana.

Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364