-->

Shilole Ala za Uso, Atakiwa Kuacha ‘Kubemenda’

Msanii wa bongo fleva asiyeisha vituko Shilole au Shishi Baby, ameijiwa juu na mashabiki wake na kumtaka kuacha tabia ya kupenda wavulana wadogo, huku wakimtuhumu kuwabemenda na kujidhalilisha.

SHILOLE34

wenye ukurasa wake wa instagram ambapo Shilole amepost picha akiwa na mwenzi wake huyo mpya ambaye pia ni mwanamuziki Nedy Music, mashabiki hao wamemtaka Shishi kuacha mara moja kwani anawafundisha vibaya watoto wake ambao ni wakubwa.

ester_mbise : Mbona huo ni ubakaji sasa!! Kitoto kidogo sana hicho unakibemenda!!! Yaaaaan bora hata Nuh kdg japo naye alikuwa katoto!!! Daaaaaaaaah

janejoseph88.jj : acha kubeba watoto wadogo dada yangu hebu jiheshimu japo kidogo fikria kuwa na ww pia unamtoto wa kike hata kama unahela

anifamwakalobo : Jmn kumbe ndo style yako unapenda vitoto haaaa wewe mmama saiz zako huzioni mbona utamaliza kubemenda watoto wa wenzio!!! Huyo kijana ilifaa atoke na mtoto wako ww uwe mamamkwe daaa kweli hii dunia kuna watu na viatu ila wengine ni yeboyebo sasa,,, umezidi unatuzalilisha wanawake wenzio hiv unafikili wazazi wa huyo kijana watajiskiaje kwa mfano shilolekiuno???

lily_da_bae:This lil boy is being raped. This is so disgusting. Dating kids who are almost same age as your own kids. Hm!! Im sure this kid is broke n all he needs is $$$ but not true love. Look for a man if you want to be truly loved, otherwise you will date more than 100 of these kidos.

Akimaanisha……. (huyu mvulana mdogo anabakwa, hii inachukiza, kuwa na mahusiano na watoto ambao umri wao ni karibu sawa na watoto wako, hm, nina uhakika huyu mtoto amefulia na vyote anavyotaka ni dola na si mapenzi ya kweli. Tafuta mwanaume kama unataka kupendwa kweli, vinginevyo utatoka na zaidi ya 100 ya hawa watoto).

Hayo yameandikwa na mashabiki hao wakimtaka Shilole kuacha hiyo tabia ya kuwa na mahusiano na vijana wenye umri mdogo.

Hivi karibuni Shilole aliachana na mpenzi wake Nuh Mziwanda, ambaye pia alikuwa mdogo kwake kiumri.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364