-->

Picha: Shamsa Amwaga Lazi ukumbini

Msanii wa filamu Shamsa Ford juzikati alitoa kali ya mwaka baada ya kutinga kwenye Ukumbi wa Sky nightlife uliopo Masaki akiwa ametinga kigauni kifupi ambacho kila alipoinama kwa kucheza alikuwa akimwaga lazi.

SHAMSA22

Msanii wa filamu Shamsa Ford akifanya yake.

Shamsa aliyekuwa kivutio ukumbini hapo alionekana kukongwa na nyimbo za msanii Belle 9 ambapo kila ulipopigwa wimbo aliinuka akiwa na glasi yake mkononi na kukata mauno kama aliyekuwa ameahidiwa zawadi nono.

Chanzo:GPL

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364