-->

Shilole Kunogesha ‘Hainaga Ushemeji’ ya Man Fongo

Msanii wa nyimbo za singeli MANFONGO amefunguka ndani ya Enews kuhusiana na wimbo wake mpya wa HAINAGA USHEMEJI ambao video qeen ni mwanadada shilolee.

man-fffioo

Manfongo na Silole

Manfogo ameiambia E news kwamba hakumshirikisha shilole katika video yake ili kuuwa winbo wa chura kama watu wanavyoongea bali yeye alimpigia simu mwana dada shishi na kumuomba amtafutie video queen wa wimbo huo ndo shishi akasema nitamaliza mwenyewe (kwa maana kwamba yeye mwenyewe atakuwa video qeen)

Ameendelea kusema “Singeli sio muziki wa kihuni kama watu wanavyodhani ila ni muziki ambao umetokea kupendwa na wadada wengi ndo maana unaonekana ni wa kihuni, lakini singeli ni muziki wenye nguvu sana katika sanaa na unakuja kwa kasi sana.”

Hivyo amewaahidi mashabiki wake kwamba kazi nyingi zinakuja na wategemee kuona video katika kila wimbo atakao utoa kwa sasa.

eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364