-->

Shilole: Sasa Natamani Kuvaa Shela

STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, sasa anatamani kuvaa shela kama walivyovaa wanawake wengine kwani kuna wakati ukifika mwanamke lazima utamani hali hiyo.

Akizungumza na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, watu wengi wanamtabiria mambo mazuri ya ndoa lakini anaamini kuwa siku yake itafika na ataolewa na kila mmoja atashangaa.

“Natamani sana na mimi nivae shela ila naamini wakati bado, najua nitavaa tu na watu wataongea sana maana wengine wanajua siwezi kuolewa ila Mungu atanifanyia wepesi na ndoa yangu itakuwa si ya nchi hii,” alisema Shilole.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364