-->

Shilole: Tatizo Nyota Ndiyo Maana Nagandwa

STAA wa filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’m ameibuka na kusema kuwa nyota yake iko juu ndiyo maana anagandwa sana wanaume.

SHILOLE12

Shilole aliyasema hayo kufuatia kuwepo kwa madai kuwa, baada ya kuachana na Nuh Mziwanda kuna kibosile mmoja kutoka Nigeria ametua kwa ajili ya penzi lake lakini amekuwa akimkwepa kwa kuwa ana jamaa mwingine.

Alipobanwa Shilole juu ya kugandwa huko na wanaume, alisema hamjui huyo Mnigeria ila akasema huenda kweli akawepo kwani yeye ana nyota ya kupendwa. “Mh! Makubwa, simjui mimi ila tatizo ni nyota,” alisema Shilole kwa kifupi.

Chanzo: GPL

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364