-->

Siri Nzima ya Weupe wa Ray Upo Ndani ya ‘Tajiri Mfupi’ Kazi Kwenu ‘Team Wanywa Maji’

Kabla ya ya uvumi wa kudhulumiana kwa mwigizaji Batuli na Vicent Kigosi ‘Ray’, tayari mwigizaji huyo ameshazua tafrani katika mitandao ya kijamii baada ya kuulizwa swali lilotokana na waupe wake.

maji nassoro

Ilikuwa katika kipindi kinachorushwa Ea TV cha Nirvana, ndipo Ray alisema wala hatumii Mkorogo isipokuwa weupe wake unatokana na Utumiaji wa maji kwa wingi na kufanya mazoezi ndio siri ya weupe wake.

Tayari katika mitandao ya kijamii zimeibuka TEAM WANYWA MAJI, ambao wameunga mkoni kauli ya Ray ikiwa kunywa maji kwa wingi ili waweze kuwa weupe.

Lakini siri nzima ya weupe huo upo ndani ya filamu ya Tajiri mfupi, ambayo Ray amefanya vitu vingi hasa katika, baada ya kuigiza kama mwalimu wa mazoezi huku akinywa maji kwa sana.

MAJI timez fm MAJI 3 ray5632MAJI 3MAJI 4MAJI snuraMAJI Nay

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364