-->

Snura Afungiwa Kufanya Kazi za Sanaa

Serikali imezuia wimbo na video ya ‘Chura’ ya msanii kupigwa kwenye chombo chochote cha habari maeneo ya wazi na kwenye kumbi mbali mbali na Snura amefungiwa kufanya maonyesho yoyote ya wazi.

chura

Tamko hilo limekuja mara baada ya TCRA, BASATA na Wizara ya habari, Bodi ya filamu kukaa na Bi Snura kwa kubaini kuwa wimbo una maudhui ya udhalilishaji , ukiukwaji wa haki za binadamu na tamaduni ya kitanzania.

Msanii amefungiwa kufanya maonyesho ya wazi kwa sababu imebainika kwamba hana kibali kutoka Basata kinachomtambua kama msanii.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.

Aidha serikali imesisitiza kwa watumiaji wa mtandao kuacha mara moja kusambaza video hiyo kwani TCRA itawachukulia hatua wale wote watakao endelea kuisambaza video hiyo.

eatv.tv

Comments

comments

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364