-->

Snura Atafuta wa Kumpa Mimba

Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa ‘zungusha’ amefunguka na kudai anatamani kupata ujauzito ila hamtamani atakayempa.

Snura ameeleza hisia zake hizo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram asubuhi ya leo na kufanya kuwashangaza watu kwa kile alichokiandika, huku wengine wakitaka kupatiwa wao nafasi hiyo ya kumpatia ujauzito.

“Nimetamani mimba ila sijamtamani mwenye kunipa mimba”, ameandika Snura.

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364