-->

Pichaz:Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Krismasi Singida

Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli leo wakiwa katika ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu Wa Yesu Singida leo.

Rais Magufuli akiongea na Askofu wa Jimbo la Singida, Edward Mapunda.

 

 

Askofu Mapunda akimuombea Magufuli.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida

Rais Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya Krismasi.

Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na waumini.

GPL

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364