-->

Steve Nyerere: Siku Nikifa, Wataomba Msamaha Kwenye Jeneza

Msanii wa filamu Tanzania Steve Nyerere ambaye pia ni mwanachama maarufu wa Chama cha Mapinduzi, amefunguka ya moyoni juu ya watu wake wa karibu, huku akisema siku akifa hawataamini na huenda ikawa wameshachelewa kuyafanya ya muhimu ju yake.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Steve Nyerere ameweka post huku akiweka picha za watu mbali mbali maarufu hapa Tanzania, huku akisema kuwa siku akifa watatamani kuomba msamaha jeneza lake.

“Siku nikifa najua hata wanao nichukia hawata amini, wataomba msamaha kwenye jeneza lakini itakuwa haina maaana , wangine watasema da tulimkosea sana, na wangine watakuwa wamejifunza kitu kupitia mimi, siku nikifa ,….”, aliandika Steve Nyerere.

Kisome hapa chini kile alchokiandika…

EATV.TV

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364