-->

Tag Archives: KANUMBA

Patrick Amkumbuka Uncle Kanumba

Post Image

Ni msanii ambaye aliibuka kupitia filamu ya This is it akiwa sambamba na mwigizaji mwenzake Jenifer huyu si mwingine ni Othuman Njaidi ‘Patrick’ vipaji vilivyoiburiwa na maremu Kanumba Patrick anasema kuwa anamkumbuka sana Kanumba kwani alikuwa mlezi kwake. “Ni tofauti sana na Uncle Kanumba alivyotulea, yeye alitulea kama watoto wake kazini lakini watayarishaji wengine hawatupi […]

Read More..

Brandy: N’tamkumbuka Kanumba Hadi Nakufa!

Post Image

Kwenye kolamu hii leo tunaye msanii Brandy Godwin anayebamba kwenye Tamthiliya ya Kivuli katika Kituo cha Star Swahili ambaye amebananishwa ipasavyo na Mwandishi Wetu, Mayasa Mariwata na kufunguka ipasavyo kutokana na mambo mbalimbali kuhusu kazi zake na jamii inayomzunguka. Ijumaa: Ni kitu gani kilichokusukuma kuingia kwenye sanaa ya uigizaji? Brandy: Kiukweli napenda kuigiza sana ni […]

Read More..

Mwakifamba: Hakuna wa Kufikia Kiwango cha K...

Post Image

RAIS wa Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF), Simon Mwakifamba, amesema hakuna atakayeweza kufikia kiwango cha marehemu Kanumba katika sanaa. Alisema sababu kubwa ni kwamba, msanii huyo alikuwa na uthubutu na alijitoa kwa lolote katika kazi zake tofauti na wasanii wa sasa. Pia Mwakifamba aliongeza kwamba, sanaa nchini inaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa […]

Read More..