Baada ya Kusugua Benchi Miaka Mitano, Nora...
STAA aliyekuwa akitingisha kwa wasanii Bongo kutoka Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa Mungu amemuona baada ya kukaa benchi kwa takriban miaka mitano bila kurekodi sinema. Akizungumza na Ubuyu wa Town, Nora alisema alikuwa ameshakata tamaa lakini anaishukuru Kampuni ya Didas Entertainment ambayo imemthamini na kumrudisha tena kwenye gemu. “Watu waliniona mimi sifai […]
Read More..