-->

Tag Archives: OMMY

Ommy Amjibu Ney Baada ya Kuambiwa ‘Jo...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz amejibu mapigo kwa Ney wa Mitego baada ya kumuimba kwenye wimbo wake, huku akimtuhumu eti rafiki zake hawamjui shemeji yao au huenda jogoo hawiki. Ommy Dimpoz amefunguka juu ya hilo na kumrushia makombora ya kutosha Ney wa Mitego, kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa instagram na kuiita barua ya wazi kwa Neema […]

Read More..

Idris zikiisha pesa tuachie miss wetu -Ommy...

Post Image

Utani ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe kwa mtu kwa lengo la kumkumbusha au kumueleza jambo fulani, njia hiyo ameitumia msanii Ommy Dimpoz kufikisha ujumbe kwa Kupitia Account yake ya Instagram siku kadhaa zilizopita Ommy Dimpoz aliweka ujumbe ambao baadhi ya watu walihisi kwamba huenda mkali huyo alikuwa akifikisha ujumbe wa moja kwa moja […]

Read More..

Dimpoz: Huu Ndio Mkakati Wangu Kwa 2016

Post Image

Msanii wa muziki Ommy Dimpoz, ameeleza kuwa wakati wasanii wengine wakiwa na mipango mbalimbali kuukabili mwaka 2016, kwa upande wake akiwa na timu nzito ya wasimamizi, amejipanga kuwa sasa ndiyo wakati wake kutoka na kolabo kubwa za kimataifa. Dimpoz amesema kuwa, kazi hiyo ambayo pia ni matunda ya usimamizi wake mpya itaanza kuonekana kupitia project […]

Read More..

Msanii wa filamu Omary Clayton Atembelea Ki...

Post Image

Msanii wa filamu Omary Clayton ‘Dogo Masai’ ametembelea kituo cha watoto yatima na kutoka msaada wa vitu mbali mbali kutokana na kuguswa kwake na watoto hao hivyo ameamua kugawana nao kidogo alichokipata kwenye filam yake ya ndugu wa mume  ambayo itaingia  sokoni kesho tarehe 15.01.2016 chini ya usambazaji wa Steps Entertainment. Filamu ya Ndugu wa […]

Read More..