-->

Msanii wa filamu Omary Clayton Atembelea Kituo cha Watoto Yatima

ommy23

Msanii wa filamu Omary Clayton ‘Dogo Masai’ ametembelea kituo cha watoto yatima na kutoka msaada wa vitu mbali mbali kutokana na kuguswa kwake na watoto hao hivyo ameamua kugawana nao kidogo alichokipata kwenye filam yake ya ndugu wa mume  ambayo itaingia  sokoni kesho tarehe 15.01.2016 chini ya usambazaji wa Steps Entertainment.

Filamu ya Ndugu wa Mume iliyotayarishwa na  Ommy Clayton production inikwa imesheneni mastaa wa kali wa bongo movies kama Riyama Ally, Dogo Ommy, Gabo , Mama Abdul  na Bi.Star inazungumzia maisha halisi ya kitanzania kuhusu wimbwanga na tabia za ndungu wa mume.

Jionee hapa

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364